Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 49

25 Lakini hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu:

"Naam, mateka watachukuliwa kutoka kwa mashujaa,

na nyara zitapokonywa kutoka kwa watu wakali.

Nitashindana na wale wanaoshindana nawe,

nami nitawaokoa watoto wako.

Veja também