Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 58

13 "Ukitunza miguu yako isivunje Sabato,

na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu,

ukiita Sabato siku ya furaha

na siku takatifu ya Mwenyezi Mungu ya kuheshimiwa,

kama utaiheshimu kwa kutoenenda

katika njia zako mwenyewe,

na kutokufanya yakupendezayo

au kusema maneno ya upuzi,

14 ndipo utakapojipatia furaha yako katika Mwenyezi Mungu,

nami nitakufanya upande juu ya miinuko ya nchi

na kusherehekea urithi wa Yakobo baba yako."

Kinywa cha Mwenyezi Mungu kimenena haya.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também