Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 61

2 kutangaza mwaka wa Mwenyezi Mungu uliokubaliwa,

na siku ya kisasi ya Mungu wetu,

kuwafariji wote wanaoomboleza,

3 na kuwapa mahitaji

wale wanaohuzunika katika Sayuni,

ili kuwapa taji za uzuri badala ya majivu,

mafuta ya furaha badala ya maombolezo,

vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa.

Nao wataitwa mialoni ya haki,

pando la Mwenyezi Mungu,

ili kuonesha utukufu wake.

Veja também