Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Mambo ya Nyakati 20

Kushindwa kwa Wafilisti

4 Ikawa baada ya hayo, kulitokea vita na Wafilisti huko Gezeri; ndipo Sibekai, Mhushathi, alipomwua Safu, mmojawapo wa Warefai;20:4 Au, wana wa jitu. nao Wafilisti20:4 Katika Kiebrania hakuna Wafilisti. wakashindwa.

Veja também