Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Crônicas 4

9 Mwa 34:19;Zab 112:6;Mit 10:7;Mwa 3:16Naye Yabesi alikuwa mwenye heshima kuliko nduguze; na mamaye akamwita Yabesi, akisema, Ni kwa sababu nilimzaa kwa huzuni. 10 Mwa 12:8;1 Nya 16:8;Ayu 12:4;22:27;Isa 12:4;1 Fal 3:7-13;Zab 21:4;65:2;Mt 7:7-11Huyo Yabesi akamlingana Mungu wa Israeli, akisema, Lau kwamba ungenibariki kweli kweli, na kuipanua mipaka yangu, na mkono wako ukawa pamoja nami, nawe ungenilinda nisipatwe na maovu wala madhara! Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.

Veja também