Pular para o conteúdo
Publicidade

Êxodo 16

11 BWANA akasema na Musa, akinena, 12 Hes 14:27;Kut 6:7;1 Fal 20:28;Yoe 3:17Nimeyasikia manung’uniko ya wana wa Israeli; haya sema nao ukinena, Wakati wa jioni mtakula nyama, na wakati wa asubuhi mtashiba mkate; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu. 13 Hes 11:31;Zab 78:27,28;Hes 11:9Ikawa wakati wa jioni, kware wakaja, wakaifunikiza kambi; na wakati wa asubuhi umande ulikuwa juu ya nchi pande zote za kituo. 14 Hes 11:7;Kum 8:3;Neh 9:15;Zab 78:24;105:40Na ulipokauka ule umande uliokuwa juu ya nchi, kumbe! Juu ya uso wa bara kitu kidogo kilichoviringana, kidogo kama barafu juu ya nchi. 15 1 Kor 10:3;Isa 25:6;Yn 6:31,49,58Wana wa Israeli walipokiona, wakaambiana, Nini hiki? Maana hawakujua ni kitu gani. Musa akawaambia, Ndio mkate ambao BWANA amewapa ninyi, mle.

Veja também