Pular para o conteúdo
Publicidade

Ezekieli 27:8,9

SRUV Swahili Revised Union Version

8 Wakaao Sidoni na Arvadi ndio waliovuta makasia yako; wana wako wenye akili, Ee Tiro, walikuwa ndani yako, ndio waliokuwa rubani zako. 9 Yos 13:5Wazee wa Gebali na wenye akili wake walikuwa ndani yako, wenye kutia kalafati; merikebu zote za bahari na mabaharia wao walikuwa ndani yako, ili kubadiliana biashara yako.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    8 Wakaaji wa Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako;

    watu wako wenye ustadi, ee Tiro,

    ndio walikuwa mabaharia wako.

    9 Wazee wa Gebali27:9 yaani Bubilo pamoja na mafundi stadi

    walikuwa mafundi wako kwenye meli.

    Meli zote za baharini na mabaharia wao

    walikuja kwako ili kubadilishana bidhaa zako.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    8 Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako;

    watu wako wenye ustadi, ee Tiro,

    walikuwa ndio mabaharia wako.

    9 Wazee wa Gebali27:9 Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti). pamoja na mafundi stadi

    walikuwa mafundi wako melini.

    Meli zote za baharini na mabaharia wao

    walikuja kwako ili kubadilishana bidhaa zako.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.