18 Maana nyumba yake inaelekea mauti,
Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu.
19 Mhu 7:26;Ebr 13:4Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja,
Wala hawazifikilii njia za uzima.
18 Maana nyumba yake inaelekea mauti,
Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu.
19 Mhu 7:26;Ebr 13:4Katika hao wamwendeao harudi hata mmoja,
Wala hawazifikilii njia za uzima.