Pular para o conteúdo
Publicidade

Provérbios 22

24 Usifanye urafiki na mtu mwenye hasira nyingi;

Wala usiende na mtu wa ghadhabu nyingi;

25 Usije ukajifunza njia zake;

Na kujipatia nafsi yako mtego.

Veja também