Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 23

19 Sikia, mwanangu, uwe na hekima,

Na kuuongoza moyo wako katika njia njema.

20 Isa 5:22;Mt 24:49;Lk 21:34;Rum 13:13;Efe 5:18Usiwe miongoni mwao wanywao mvinyo;

Miongoni mwao walao nyama kwa pupa.

21 Kwa maana mlevi na mlafi huingia umaskini,

Na utepetevu humvika mtu nguo mbovu.

22 Efe 6:1Msikilize baba yako aliyekuzaa,

Wala usimdharau mama yako akiwa mzee.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também