22 Efe 6:1Msikilize baba yako aliyekuzaa,
Wala usimdharau mama yako akiwa mzee.
23 Mt 13:44Inunue kweli, wala usiiuze;
Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.
22 Efe 6:1Msikilize baba yako aliyekuzaa,
Wala usimdharau mama yako akiwa mzee.
23 Mt 13:44Inunue kweli, wala usiiuze;
Naam, hekima, na mafundisho, na ufahamu.