Pular para o conteúdo
Publicidade

Provérbios 27

9 Marhamu na manukato huufurahisha moyo;

Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.

10 Usimwache rafiki yako mwenyewe, wala rafiki ya baba yako,

Wala usiende nyumbani mwa ndugu yako siku ya msiba wako.

Afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali.

Veja também