Maonyo juu ya kumwamini na kumheshimu Mungu
1 Kum 30:16Mwanangu, usiisahau sheria yangu,
Bali moyo wako uzishike amri zangu.
2 Maana zitakuongezea wingi wa siku.
Na miaka ya uzima, na amani.
1 Kum 30:16Mwanangu, usiisahau sheria yangu,
Bali moyo wako uzishike amri zangu.
2 Maana zitakuongezea wingi wa siku.
Na miaka ya uzima, na amani.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.