27 Rum 13:7;Gal 6:10Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao,
Ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda.
28 Law 19:13;Kum 24:15Usimwambie jirani yako,
Nenda, urudi halafu, na kesho nitakupa;
Nawe unacho kitu kile karibu nawe.

27 Usizuie wema kwa wale wanaostahili
ikiwa katika uwezo wako kutenda.
28 Usimwambie jirani yako,
"Njoo baadaye, nitakupa kesho":
wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe.
27 Usizuie wema kwa wale wanaostahili
ikiwa katika uwezo wako kutenda.
28 Usimwambie jirani yako,
"Njoo baadaye, nitakupa kesho":
wakati wewe unacho kitu kile karibu nawe.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.