7 Rum 12:16Usiwe na hekima machoni pako;
Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
8 Itakuwa afya mwilini pako,3:8 Au, kitovuni pako.
Na mafuta mifupani mwako.
7 Rum 12:16Usiwe na hekima machoni pako;
Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
8 Itakuwa afya mwilini pako,3:8 Au, kitovuni pako.
Na mafuta mifupani mwako.