9 Kut 23:19Mheshimu BWANA kwa mali yako,
Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.
10 Kum 28:8Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi,
Na vyombo vyako vitafurika divai mpya.
9 Kut 23:19Mheshimu BWANA kwa mali yako,
Na kwa malimbuko ya mazao yako yote.
10 Kum 28:8Ndipo ghala zako zitakapojazwa kwa wingi,
Na vyombo vyako vitafurika divai mpya.