5 Zab 12:6;18:30;84:11Kila neno la Mungu limehakikishwa;
Yeye ni ngao yao wamwaminio.
6 Kum 4:2;Ufu 22:18Usiongeze neno katika maneno yake;
Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo.