Publicidade

Provérbios 5

18 Chemchemi yako ibarikiwe;

Nawe umfurahie mke wa ujana wako.

19 Ni ayala apendaye na paa apendezaye;

Matiti yake yakutoshe sikuzote;

Na kwa upendo wake ushangilie daima.

20 Mwanangu! Mbona unashangilia malaya,

Na kukikumbatia kifua cha mgeni?

Veja também

Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-22_10-02-25-