Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 5

8 Itenge njia yako mbali naye,

Wala usiukaribie mlango wa nyumba yake.

9 Usije ukawapa wengine heshima yako,

Na wakatili miaka yako;

10 Wageni wasije wakashiba nguvu zako;

Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;

11 Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho,

Nyama yako na mwili wako utakapoangamia;

12 Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo,

Na moyo wangu ukadharau kukemewa;

13 Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu,

Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!

14 Nilikuwa karibu na kuingia katika maovu yote,

Katikati ya mkutano na kusanyiko.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também