Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 6

20 Efe 6:1Mwanangu, shika maagizo ya baba yako,

Wala usiiache sheria ya mama yako.

21 Yafunge hayo katika moyo wako daima;

Jivike hayo shingoni mwako.

22 Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda,

Na uamkapo yatazungumza nawe.

23 Zab 19:8Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru,

Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também