27 Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake,
Na nguo zake zisiteketezwe?
28 Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto,
Na nyayo zake zisiungue?
29 Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake;
Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.