Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 6

32 Ayu 31:12;Ebr 13:4Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;

Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

33 Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima;

Wala fedheha yake haitafutika.

34 Maana wivu ni ghadhabu ya mtu;

Wala hatahurumia siku ya kujilipizia kisasi.

35 Hatakubali fidia yoyote;

Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também