Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 6

6 Ayu 12:7Ewe mvivu, mwendee chungu,

Zitafakari njia zake ukapate hekima.

7 Kwa maana yeye hana kiongozi,

Wala msimamizi, wala mkuu,

8 Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua;

Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.

9 Ewe mvivu, utalala hadi lini?

Utaondoka lini katika usingizi wako?

10 Mit 24:33-34Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo,

Bado kukunja mikono upate usingizi!

11 Hivyo umaskini wako huja kama mnyang’anyi,

Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também