Pular para o conteúdo
Publicidade

Provérbios 1

1 1 Fal 4:32Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.

Utangulizi

2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; 3 Mit 2:1kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. 4 Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na tahadhari; 5 mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia. 6 Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao.

Veja também