Pular para o conteúdo
Publicidade

Provérbios 1

Wito wa hekima

20 Mit 8:1-3Hekima hulia kwa sauti katika njia kuu,

Hupaza sauti yake katika viwanja;

21 Hulia penye mikutano mikubwa ya watu,

Mahali pa kuyaingilia malango,

Ndani ya mji hutamka maneno yake.

22 Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga?

Na wenye dharau kupenda dharau yao,

Na wapumbavu kuchukia maarifa?

23 Yoe 2:28;Yn 7:37Geukeni kwa ajili ya maonyo yangu;

Tazama, nitawamwagia roho yangu,

Na kuwajulisheni maneno yangu.

Veja também