Maonyo juu ya kushirikiana na waovu
8 Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
9 Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako,
Na mikufu shingoni mwako.
8 Mwanangu, yasikilize mafundisho ya baba yako,
Wala usiiache sheria ya mama yako,
9 Kwa maana hayo yatakuwa kilemba cha neema kichwani pako,
Na mikufu shingoni mwako.