Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 11

1 Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA;

Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.

3 Ukamilifu wao wenye haki utawaongoza

Bali ukaidi wao wenye fitina utawaangamiza.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também