15 Mjinga huamini kila neno;
Bali mwenye busara huangalia sana aendavyo.
16 Mit 22:3Mwenye hekima huhadhari, na kujitenga na uovu;
Bali mpumbavu hupuuza yote, na hajali.
15 Mjinga huamini kila neno;
Bali mwenye busara huangalia sana aendavyo.
16 Mit 22:3Mwenye hekima huhadhari, na kujitenga na uovu;
Bali mpumbavu hupuuza yote, na hajali.