1 Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi;
Na neema kuliko fedha na dhahabu.
7 Tajiri humtawala maskini,
Naye akopaye ni mtumwa wake akopeshaye.
26 Usiwe mmoja wao wawekao rehani;
Au walio wadhamini kwa deni za watu;
27 Kama huna kitu cha kulipa;
Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako?