13 Mwanangu, ule asali, kwa maana ni njema,
Na sega la asali lililo tamu ulionjapo.
14 Basi utaijua hekima kuwa tamu kwa nafsi yako;
Ikiwa umekwisha kuiona;
Ndipo itakapofuata thawabu;
Wala tumaini lako halitabatilika.