Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 3:13-15

SRUV Swahili Revised Union Version

Utajiri wa kweli

13 Heri mtu yule aonaye hekima,

Na mtu yule apataye ufahamu.

14 Ayu 28:13;Mit 2:4;8:11,19Maana biashara yake ni bora kuliko biashara ya fedha,

Na faida yake ni nyingi kuliko dhahabu safi.

15 Mt 13:44Yeye ana thamani kuliko marijani,

Wala vyote uvitamanivyo havilingani naye.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    13 Heri mtu yule apataye hekima,

    mtu yule apataye ufahamu,

    14 kwa maana hekima ana faida kuliko fedha

    na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi.

    15 Hekima ana thamani kuliko marijani;

    hakuna chochote unachokitamani

    kinachoweza kulinganishwa naye.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    13 Heri mtu yule aonaye hekima,

    mtu yule apataye ufahamu,

    14 kwa maana hekima ana faida kuliko fedha

    na mapato yake ni bora kuliko ya dhahabu safi.

    15 Hekima ana thamani kuliko marijani;

    hakuna chochote unachokitamani

    kinachoweza kulinganishwa naye.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.