Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 6:1-5

SRUV Swahili Revised Union Version

Mawaidha ya vitendo

1 Mwa 43:9;Mit 27:13;Ebr 7:22;Ezr 10:19Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa rafiki yako,

Ikiwa wewe na mgeni mmepeana mikono,

2 Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako,

Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,

3 Sasa, mwanangu, fanya hivi ukajiokoe,

Kwa kuwa umejitia mkononi mwa jirani yako;

Nenda ukanyenyekee, na kumsihi jirani yako.

4 Rut 3:18Usiache macho yako kupata usingizi,

Wala kope za macho yako kusinzia.

5 Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji,

Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako,

    ikiwa umeshikana mikono kwa kuweka ahadi

    kwa ajili ya mwingine,

    2 kama umetegwa na ulichosema,

    umenaswa kwa maneno ya kinywa chako,

    3 basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru,

    kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako:

    Nenda ukajinyenyekeshe kwake;

    msihi jirani yako!

    4 Usiruhusu usingizi machoni pako,

    usiruhusu kope zako zisinzie.

    5 Jiweke huru, kama paa kutoka mkononi mwa mwindaji,

    kama ndege kutoka mtego wa mwindaji.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    1 Mwanangu, kama umekuwa mdhamini wa jirani yako,

    ikiwa umeshika mikono kwa kuweka ahadi

    kwa ajili ya mwingine,

    2 kama umetegwa na ulichosema,

    umenaswa kwa maneno ya kinywa chako,

    3 basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru,

    kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako:

    Nenda ukajinyenyekeshe kwake;

    msihi jirani yako!

    4 Usiruhusu usingizi machoni pako,

    usiruhusu kope zako zisinzie.

    5 Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji,

    kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.