22 Pet 1:2 Mwongezewe rehema na amani na upendano.
22Wahurumieni wengine walio na mashaka,
25Rum 16:27;1 Tim 1:17;2 Pet 3:18 Yeye aliye Mungu pekee, Mwokozi wetu kwa Yesu Kristo Bwana wetu; utukufu una yeye, na ukuu, na uwezo, na nguvu, tangu milele, na sasa, na hata milele. Amina.