Pular para o conteúdo
Publicidade

Mithali 1

1 1 Fal 4:32Mithali za Sulemani, mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli.

Utangulizi

2 Kujua hekima na adabu; kutambua maneno ya ufahamu; 3 Mit 2:1kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. 4 Kuwapa wajinga werevu, na kijana maarifa na tahadhari; 5 mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu ayafikie mashauri yenye njia. 6 Kufahamu mithali na kitendawili, na maneno ya wenye hekima na mafumbo yao. 7 Ayu 28:28;Zab 111:10;Mit 9:10Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também