Pular para o conteúdo
Publicidade

Provérbios 2

6 Lk 21:15;Yn 6:45;Yak 1:5Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima;

Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;

7 Zab 84:11Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili;

Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu;

8 1 Sam 2:9;1 Pet 1:5;Zab 37:23,24,28,31Apate kuyalinda mapito ya hukumu,

Na kuhifadhi njia ya watakatifu wake.

Veja também