Pular para o conteúdo
Publicidade

Provérbios 5

15 Unywe maji ya tangi lako mwenyewe,

Na maji yenye kububujika katika kisima chako.

16 Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali,

Na mito ya maji katika njia kuu?

17 Yawe yako mwenyewe peke yako,

Wala si ya wageni pamoja nawe.

18 Mhu 9:9;Mal 2:14Chemchemi yako ibarikiwe;

Nawe umfurahie mke wa ujana wako.

19 Wim 2:9Ni ayala apendaye na paa apendezaye;

Matiti yake yakutoshe sikuzote;

Na kwa upendo wake ushangilie daima.

20 Mwanangu! Mbona unashangilia malaya,

Na kukikumbatia kifua cha mgeni?

Veja também