9 Zab 63:6;83:16;Wim 3:1;Lk 6:12Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku;
Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema;
Maana hukumu zako zikiwapo duniani,
Watu wakaao duniani hujifunza haki.