13 Zab 17:1;Isa 48:1,2;Yer 12:2;Eze 33:31;Mt 6:5;Kol 2:22;Mt 15:8-9;Mk 7:6-7Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walichonacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;