Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 40

10 Isa 62:11;Ufu 22:12Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa,

Na mkono wake ndio utakaomtawalia;

Tazameni, thawabu yake i pamoja naye,

Na fidia yake i mbele zake.

11 Eze 34:15,23;Isa 49:10;Ebr 13:20;1 Pet 2:25;Ufu 7:17;Yn 10:11Atalilisha kundi lake kama mchungaji,

Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake;

Na kuwachukua kifuani mwake,

Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.

Veja também