Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 45

Koreshi, chombo cha Mungu

1 Zab 73:23;Isa 41:13Haya ndiyo BWANA amwambiayo Koreshi, masihi45:1 Au, mtiwa mafuta (tazama 1 Sam 2:10). wake, ambaye nimemshika mkono wake wa kulia, ili kutiisha mataifa mbele yake, nami nitalegeza nguvu za wafalme;45:1 Katika Kiebrania ni: Nitalegeza viuno vya wafalme. ili kufungua milango mbele yake, hata malango hayatafungwa.

Veja também