Kuaibishwa na kuthibitishwa kwa mtumishi
4 Kut 4:11;Mt 7:29;Mk 6:7;Lk 4:22,32;Mt 11:28Bwana MUNGU amenipa ulimi wa hao wafundishwao, nipate kujua jinsi ya kumtegemeza kwa maneno yeye aliyechoka, huniamsha asubuhi baada ya asubuhi; huniamsha, sikio langu lipate kusikia kama watu wafundishwao.