Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 6

9 Mt 13:14-15;Mk 4:12;Lk 8:10;Yn 12:40;Mdo 28:26-27Naye akaniambia, Nenda, ukawaambie watu hawa, Endeleeni kusikia, lakini msifahamu; endeleeni kutazama, lakini msione. 10 Zifanye akili za watu hawa zipumbae, na uyatie uzito masikio yao, na uyafumbe macho yao; wasije wakaona kwa macho yao, na kusikia kwa masikio yao, na kufahamu kwa mioyo yao, na kurejea na kuponywa.

Veja também