Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 60

Kusanyiko jipya la waliotawanyika

1 Mal 4:2Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja,

Na utukufu wa BWANA umekuzukia.

2 Maana, tazama, giza litaifunika dunia,

Na giza kuu litazifunika makabila ya watu;

Bali BWANA atakuzukia wewe,

Na utukufu wake utaonekana juu yako.

3 Ufu 21:24Na mataifa wataijia nuru yako,

Na wafalme kuujia mwanga wa mapambazuko yako.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também