Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 26:19

SRUV Swahili Revised Union Version

19 Isa 25:8;Hos 13:14;Yn 5:28,29;Dan 12:2Wafu wako wataishi, maiti zangu zitafufuka; amkeni, kaimbeni, ninyi mnaokaa mavumbini, kwa maana umande wako ni kama umande wa mimea, nayo ardhi itawatoa waliokufa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    19 Lakini wafu wenu wataishi,

    nayo miili yao itafufuka.

    Ninyi mnaokaa katika mavumbi,

    amkeni mkashangilie kwa furaha.

    Umande wenu ni kama umande wa asubuhi,

    dunia itawazaa wafu wake.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    19 Lakini wafu wenu wataishi,

    nayo miili yao itafufuka.

    Ninyi mnaokaa katika mavumbi,

    amkeni mkapige kelele kwa furaha.

    Umande wenu ni kama umande wa asubuhi,

    dunia itawazaa wafu wake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.