Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 40

28 Zab 147:5;Rum 11:33Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki. 29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. 30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na vijana wanaume wataanguka; 31 Ayu 17:9;Zab 25:3;Isa 8:17;Omb 3:25;2 Kor 4:8-10,16bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.

Veja também