Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaías 53

11 Yn 17:3;1 Yoh 2:1;Rum 5:18Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika.

Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki

Atawafanya wengi kuwa wenye haki;

Naye atayachukua maovu yao.

12 Flp 2:9;Kol 2:15;Mk 15:28;Lk 22:37;23:34Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu,

Naye atagawana nyara pamoja nao walio hodari;

Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa,

Akahesabiwa pamoja na hao wakosao.

Walakini alichukua dhambi za watu wengi,

Na kuwaombea wakosaji.

Veja também