12 Flp 2:9;Kol 2:15;Mk 15:28;Lk 22:37;23:34Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu,
Naye atagawana nyara pamoja nao walio hodari;
Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa,
Akahesabiwa pamoja na hao wakosao.
Walakini alichukua dhambi za watu wengi,
Na kuwaombea wakosaji.