Pular para o conteúdo
Publicidade

Isaya 53

5 1 Pet 2:24Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu,

Alichubuliwa kwa maovu yetu;

Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake,

Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

6 1 Pet 2:25Sisi sote kama kondoo tumepotea;

Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe;

Na BWANA ameweka juu yake

Maovu yetu sisi sote.

7 Mdo 8:32;1 Pet 1:19;Ufu 5:6Alionewa, lakini alinyenyekea,

Wala hakufunua kinywa chake;

Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni,

Na kama vile kondoo anyamazavyo

Mbele yao wakatao manyoya yake;

Naam, hakufunua kinywa chake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também