Mungu aliye utukufu wa Sayuni
19 Zek 2:5;Ufu 21:23;22:5Jua halitakuwa nuru yako tena wakati wa mchana,
Wala mwezi hautakupa nuru kwa mwangaza wake;
Bali BWANA atakuwa nuru ya milele kwako,
Na Mungu wako atakuwa utukufu wako.
20 Amo 8:9Jua lako halitashuka tena,
Wala mwezi wako hautajitenga;
Kwa kuwa BWANA mwenyewe atakuwa nuru yako ya milele;
Na siku za kuomboleza kwako zitakoma.