25 Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai,
Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi.
26 Na baada ya ngozi yangu kuharibiwa hivi,
Lakini, pasipokuwa na mwili wangu nitamwona Mungu;